UINULIWE MUNGU
Music by Zawadi Amisa Amosi Featuring Beatrice Mwaipaja performing UINULIWE MUNGU {Album Single} ©2021. Wimbo huu ni ushuuda tosha wa ukuu wa Mungu katika maisha yangu. Iligarimu mkono wa Mungu ili niwe hai leo na kufika hapa nilipo. Tujiunge pamoja katika kumuimidi na kumsifu Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo kupitia wimbo huu, huku tukikumbuka kuwagawia na wengine Baraka hizi… Audio By: Chief Elia.